Shule walizopangiwa waliofaulu kidato cha nne mwaka

Mbali na muda, kazi hiyo imefanyika kwa Shmilioni na kwamba kipindi cha nyuma iligharimu kati ya Sh1 bilioni hadi Sh1. Akizungumzia kuhusu uchaguzi wa wanafunzi, Jafo amesema wahitimuwamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi mwaka Amesema idadi hiyo ya wahitimu waliochaguliwa ni sawa na asilimia Amebainisha kuwa wahitimu waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano ni 66, na kwamba kati yao 1, walichaguliwa kujiunga na shule za vipaji maalum wakiwemo wanafunzi sita wenye mahitaji maalum.

shule walizopangiwa waliofaulu kidato cha nne mwaka

Jaffo amesema wanafunzi 33, waliochaguliwa vyuo vya ufundi na wasichana waliofaulu wote wanapata nafasi za kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi.

Amesema wanafunzi 1, waliokosa nafasi watapangiwa shule katika chaguo la pili, kwamba wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa Julai 8, Amesema mabadiliko yoyote yataruhusiwa baada ya kukamilika kwa muhula wa kwanza wa masomo na zoezi hilo litazingatia uwepo wa nafasi katika shule kwa idhini wa ofisa elimu wa Mkoa.

Serikali yatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2016.

Jafo amesema wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ufundi wanatakiwa kuthibitisha kukubali nafasi hizo kuanzia Juni 9 hadi Agosti 30, Mwanzo Habari Kitaifa. Pia Soma. RC Mghwira aziangukia familia hofu maambukizi ya corona Kilimanjaro Mawaziri 13 wanawake wanaopambana na corona Afrika Jinsi polisi wa Panama wanavyotumia nyimbo kuwatia moyo wananchi waliokuwa majumbani - VIDEO Sokoine akumbukwa kwa uadilifu miaka 36 baada ya kifo chake Askari akutwa mtaroni akiwa amefariki Kanisa Katoliki Sri Lanka lasamehe walioua watu Chief Editor Mhariri.

Post a Comment. Mwanzo Mwasiliano. Post Top Ad. Saturday, February 14, Soma Ufaulu wake. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini,Dk.

Charles Msonde akizungumza na wanahabari jijini Dar leo Februari 14, Katika matokeo hayo msichana wa shule ya sekondari ya Baobab, Nyakaho I.

SHULE KUMI ZILIZOONGOZA KITAIFA KATIKA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE

Marungu ndio aliyeongoza mtihani huo na kufatia wavulana. Shule za Sekondari za St. Fransis ya mkoani Mbeya wanafunzi sita na Feza wanafunzi nane na kufanya shule hizo kuingia katika 10 bora kwa kutoa idadi wanafunzi wengi ikilinganishwa na shule zingine. Aidha Jumla ya Watahiniwasawa na Akitangaza matokeo ya Kidato cha Nne ya mwaka leo Februari14, jijini Dar es salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dkt Charles Msonde amesema kati ya waliofaulu, wasichana ni 89, sawa na asilimia Amesema watahiniwa wa shule waliofaulu nisawa na asilimia Amesema mwaka watahiniwasawa na asilimia Akizungumzia ubora wa ufaulu, Dkt Msonde amesema kuwa jumla ya watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa madaraja ya Distinction, Merit na Credit ni 73, sawa na asilimia Watahiniwa waliopata daraja la PASS 93, sawa na asilimia Kuhusu ufaulu wa masomo, Dkt Msonde amesema kuwa ufaulu katika masomo ya msingi umepanda kwa kati ya asilimia 1.

Ufaulu wa juu kabisa umekuwa katika somo la Kiswahili ambapo asilimia Amesema Baraza limefuta matokeo ya watahiniwa baada ya kubainika kufanya udanganyifu, kati yao ni watahiniwa wa kujitegemea na 56 ni watahiniwa wa shule.

Kaizirege mkoa wa Kagera. Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza.

shule walizopangiwa waliofaulu kidato cha nne mwaka

Marian Boys mkoa wa Pwani. Francis Girls mkoa wa Mbeya. Abbey mkoa wa Mtwara. Feza Girls mkoa wa Dar es salaam. Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa. Marian Girls mkoa wa Pwani. Feza Boys mkoa wa Dar es laam.

Manolo mkoa wa Tanga. Chokocho mkoa wa Pemba. Kwalugulu mkoa wa Tanga. Relini mkoa wa Dar es salaam.Pamoja na kukua kwa ufaulu kitaifa wa mtihani wa kidato cha nne mwakazaidi ya watahiniwawaliofaulu sawa na asilimia Hawa ni wale waliofaulu kwa kupata daraja la nne ambalo hutambulika kama daraja la ufaulu, ondoa asilimia Akitangaza matokeo ya mtihani huo wiki iliyopita, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania NectaDk Charles Msonde alisema watahiniwa wa jumlasawa na asilimia Katika idadi hiyo ni watahiniwa wa shulesawa na asilimia Kwa mujibu wa mfumo wa elimu nchini, mwanafunzi anaweza kuendelea na kidato cha akiwa na ufaulu wa angalau alama C katika masomo matatu.

Kwa sura hii watahiniwa hawa waliopata daraja la nne, wamekosa fursa hiyo kwa kukosa kigezo cha kuwa na angalau C tatu. Wapo wanaoweza kuendelea na kidato cha tano katika shule binafsi kwa sharti la kurudia baadhi ya mitihani ili kupata sifa stahiki.

Cpt 43820

Hawa watalazimika kutafuta njia nyingine za kuendelea na masomo ya juu. Makala haya yanatoa njia kadhaa mbadala zinazoweza kutumiwa na wanafunzi hawa kujiedeleza.

Sample boq for residential house india

Njia mojawapo rahisi ya kurudisha matumaini ya ndoto zako za kusoma inawezekana kwa wewe kuamua kurudia mitihani yako kwa mara nyingine. Mfumo wetu wa elimu unatoa fursa hiyo ya kurudia mitihani na ndio maana kuna utaratibu wa watahiniwa binafsi. Fursa nyingine iliyopo kujiendeleza ni kusoma fani mbalimbali zinazoanza kwa ngazi ya cheti. Ikumbukwe badhi ya fani elimu ya cheti inatosha kuwa kipimo cha mtu kupata ajira. Kwa mujibu wa mfumo wa elimu nchini, kuna vyuo vingi vya kada ya kati vinavyotoa elimu mbalimbali za astashahada ya msingi, ngazi ambayo ni maalumu kwa wahitimu wa kidato cha nne na cha sita.

Shule 10 Bora matokeo ya Kidato cha Sita 2018 hizi hapa

Kutoka astashahada au cheti cha msingi, mwanafunzi anaweza kuendelea hadi ngazi ya cheti cha juu, stashahada na hatimaye kupata fursa ya kusoma elimu ya chuo kikuu. Unaweza kufika chuo kikuu kwa kutumia njia hii ya kusoma.

Vipo vyuo vikuu vinavyowakubali wanafunzi waliopitia mfumo huu. Hata hivyo, ni vyema kutoa angalizo na vyuo vinavyotoa mafunzo kwa ngazi za cheti, kwani baadhi yao havina sifa na havitambuliki na NACTE. Kabla ya kujiunga na chuo chochote, tafuta taarifa zake katika baraza hilo, ikiwamo kupitia wavuti wao wa www. Fursa nyingine inayotumiwa na baadhi ya wanafunzi wanaoishia kidato cha nne, ni kusoma masomo ya ufundi katika vyuo vinavyosimamiwa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA.

Wengi wamekuwa na mtazamo hasi na vyuo vya VETA wanasahau kuwa vyuo hivi vina msaada mkubwa kiajira na hata kujiendeleza zaidi kielimu. Zaidi ya yote wigo wa mafunzo ya VETA umekua na kuhusisha mambo mengi ya kiufundi ya kisasa na yanayolipa kiajira iwe ajira binafsi au ajira rasmi. Hivi sasa VETA inaendesha kozi kama masomo ya madini, utalii, Tehama na mengineyo muhimu katika zama za sasa.

Mwanzo Habari Makala.

Mount royal montreal condos for sale

Hawa ni watahiniwa wa shulewaliopata ufaulu wa daraja la nne, ambao kimfumo huhesabika wamefaulu. Pia Soma.

Bollettino di difesa integrata obbligatoria

RC Mghwira aziangukia familia hofu maambukizi ya corona Kilimanjaro Mawaziri 13 wanawake wanaopambana na corona Afrika Jinsi polisi wa Panama wanavyotumia nyimbo kuwatia moyo wananchi waliokuwa majumbani - VIDEO Sokoine akumbukwa kwa uadilifu miaka 36 baada ya kifo chake Askari akutwa mtaroni akiwa amefariki Kanisa Katoliki Sri Lanka lasamehe walioua watu Selemani Jafo amesema Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka na wanaotegemea kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo kwa mwaka kubadilisha Tahasusi Combination.

Jafo ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Waziri amesisitiza kuwa wanafunzi walikuwa wanajaza Fomu za F4-Selform kabla ya kufanya mitihani sasa matokeo huweza kuja tofauti na vile alivyojaza lakini mwanafunzi huyo amefaulu.

Aidha Waziri ameongeza kuwa Ofisi yake imetoa fursa hii kwa wahitimu kubadili machaguo yao ili kutoa mwanya zaidi kwa mwanafunzi kusoma fani au Tahsusi itakayomwandaa kuwa na mtaalam fulani katika maisha yake ya baadaye kwa namna ambayo anatamani yeye mwenyewe au kwa kushauriwa na wazazi au walezi wake. Hata hivyo Jafo amesema kuwa wanafunzi hao watabadili kwa njia ya mtandao kadri watakavyotaka na baada ya kufanya marekebisho hayo kanzidata hiyo itatumika kuwapanga kwa ajili ya kidato cha tano na kozi za vyuo.

Jafo amesema kuwa Miaka ya nyuma tukishafanya selection kuchagua wanafunzi wanafunzi na wazazi walikuwa wanakuja tamisemi kutaka kubadili Tahasusi au kozi aliyoomba kujiunga na chuo, lakini sasa tumetoa fursa hiyo wafanye hivyo. Jafo amesema endapo mwanafunzi hataomba kubadilishiwa tahasusi au kozi alizoomba, basi taarifa zake za awali alizojaza akiwa shule ndizo zitakazotumika kuwapanga katika shule na vyuo.

Lemutuz Blog. By lemutuz blog. Share this post. Related articles. HabariMagazeti. All rights reserved.Selemani Jafo amesema Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka na wanaotegemea kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo kwa mwaka kubadilisha Tahasusi Combination.

Jafo ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Waziri amesisitiza kuwa wanafunzi walikuwa wanajaza Fomu za F4-Selform kabla ya kufanya mitihani sasa matokeo huweza kuja tofauti na vile alivyojaza lakini mwanafunzi huyo amefaulu.

Aidha Waziri ameongeza kuwa Ofisi yake imetoa fursa hii kwa wahitimu kubadili machaguo yao ili kutoa mwanya zaidi kwa mwanafunzi kusoma fani au Tahsusi itakayomwandaa kuwa na mtaalam fulani katika maisha yake ya baadaye kwa namna ambayo anatamani yeye mwenyewe au kwa kushauriwa na wazazi au walezi wake.

Hata hivyo Jafo amesema kuwa wanafunzi hao watabadili kwa njia ya mtandao kadri watakavyotaka na baada ya kufanya marekebisho hayo kanzidata hiyo itatumika kuwapanga kwa ajili ya kidato cha tano na kozi za vyuo. Jafo amesema kuwa Miaka ya nyuma tukishafanya selection kuchagua wanafunzi wanafunzi na wazazi walikuwa wanakuja tamisemi kutaka kubadili Tahasusi au kozi aliyoomba kujiunga na chuo, lakini sasa tumetoa fursa hiyo wafanye hivyo.

Jafo amesema endapo mwanafunzi hataomba kubadilishiwa tahasusi au kozi alizoomba, basi taarifa zake za awali alizojaza akiwa shule ndizo zitakazotumika kuwapanga katika shule na vyuo.

Lemutuz Blog. By lemutuz blog. Share this post. Related articles.

Repi soap and detergent ethiopia

All rights reserved.Home About Contact. Baraza la Mitihani Tanzania Necta limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwakana kutaja shule 10 zilizofanya vizuri katika mtihani huo kwa shule zenye watahiniwa zaidi ya Hata hivyo Necta imesema kiwango cha ufaulu katika matokeo ya kidato cha nne, kimeongezeka kwa asilimia 1.

Amesema watahiniwa tisa wasichana kati ya 10 bora kitaifa, katika matokeo haya ni kutoka Shule ya Wasichana ya Mtakatifu Francis ya Mbeya, huku msichana wa 10 bora kitaifa, anatoka shule ya Wasichana ya Anwarite ya Kilimanjaro. Katika matokeo hayo, watahiniwa wamefutiwa matokeo kutokana na udanganyifu na kati yao, 71 ni wa kujitegemea huku wawili kati yao wakiandika matusi. Popular Posts. Search This Blog. This platform was created in since then the blog was only for education stuffs, at the begining the blog provided literature materials, later on the blog started to be pleny of materials to all field of studies and subjects.

Using Information Technology in providing teaching and learning materials for free. To become the best online education centre where students and teachers can study and grab best performance in exams.

Random Posts. Rajabu Rashidi Mpella is a graduate from The University of Dodoma with a Bachelor Degree in Special Needs Education With a great spirit of volunteering Rajabu Mpella Strived to become an IT expert so as he can provide teachers and students with plenty of Teaching and Learning materials through internet based methods. Rajabu Mpella has a great ambition to transform the education system through Information and Communication Technology. Recent Posts. Menu Footer Widget. Home About Contact Us.

Powered by Blogger. Theme images by konradlew.Chief Editor Mhariri. Post a Comment. Mwanzo Mwasiliano.

SERIKALI YATOA FURSA KWA WANAFUNZI WALIOFAULU KIDATO CHA NNE 2019

Post Top Ad. Tuesday, June 13, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi George Simbachawene ametoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka huku jumla ya wanafunzi 2, wakiachwa. Simbachawene ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi ws habari na kusema kuwa ufaulu kwa mwaka huu umeongezeka kwa asilimia 3. Waziri amedai kati ya wanafunzi 96, waliofaulu kwa daraja la kwanza hadi la tatu ni wanafunzi 93, tu ndiyo waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi.

Waziri Simbachawene amesema kuwa jumla ya watahiniwa wote waliofanya mtihani wa kidato cha nne kwa shule kwa mwaka nihuku waliofanya mtihani wa kujitegemea ni 47, ambapo watahiniwa waliofanya mtihani wa shule waliofaulu kwa daraja la kwanza hadi la tatu ni 96, sawa na asilimia Simbachawene alisema kutokana na mwongozo wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Mei 15, jumla ya wanafunzi 93, ndiyo wenye Sifa za kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa kuwa wamefaulu vigezo vyote vya msingi kama vilivyoaibishwa na Wizara ya elimu sayansi na teknolojia ambapo kati ya hao 92, ni wa shule na wanafunzi 21 ni wale waliosoma taasisi ya elimu ya watu wazima.

Aidha amewataka wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kuwasili kwa wakati katika shule walizopangiwa July 17 mwaka huu na kwamba hakutakuwa na mabadiliko ya shule walizopangiwa. Kuangalia majina ya wanafunzi na shule walizochaguliwa.

shule walizopangiwa waliofaulu kidato cha nne mwaka

No comments:. Newer Post Older Post Home.

SERIKALI YATOA FURSA KWA WANAFUNZI WALIOFAULU KIDATO CHA NNE 2019

Subscribe to: Post Comments Atom. Post Bottom Ad. Powered by Blogger. Alex Gashaza kijijini Kazin Tazama matokeo ya Darasa la Saba …….

Psn patch ps3 2020

Matokeo ya Kidato Cha Nne Bofya Hapa Kuyatazama. Baraza la Mitihani la Taifa Necta limetangaza matokeo ya kidato nne ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia saba.

shule walizopangiwa waliofaulu kidato cha nne mwaka

Jumla ya watahin Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania TRL wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku w Mwanzo Mawasiliano instagram. Crafted with by TemplatesYard.